Hata mimi nimeshavisikia kwa rafiki yangu; siviungi mkono...ni sawa na kutoa mimba tu; maana vinafanya nini kama si kuua kiumbe cha siku moja?
Sikumbuki vizuri maana ni muda lakini ni kama vile wakati ananambia alisema ana stop kwa kuwa amesoma mahali kuwa vina madhara...kansa kama niko sahihi...ngoja tu google.