Postgraduate referees, UDSM

Postgraduate referees, UDSM

Wakuu Application za postgraduate za UDSM zishatoka. Application mwisho 13/5/2016. Pamoja na mambo mengine wanatakiwa Referees watatu. Je, hawa lazima wawe kati ya wale waliokufundisha BACHELOR DEGREE? Kwenye guideline yao hawaja upload ukifungua inasema : TO BE ADDED. Msaada Tafadhali
Tafuta moja tu aliyekufundisha...
 
Mkuu hua wanaprefer sana academic referee ila si mbaya ukatumia wawili waliokufundisha maana watakuandikia kuhusu performance yako kwenye masomo na mmoja wa kazini atakae recommend uwezo wako kazini
 
Back
Top Bottom