Mimi ninavyo jua unasoma postgraduate diploma endapo unataka kubadilisha kozi tofauti na ile ya undergraduate.. Au kama hujafikisha GPA ya kusoma masters ndio unafanya post ukifahuru ndio utaendelea na masters
Inategemea na kozi na CHUO pia. Ila kozi nyingi minimum entrance qualification ni 3.5.. Kuna baadhi mbka 2.7..,sasa hapo inategemea kama nilivyo kwambia.