Unasoma kwanza bachelor of electrical engineering,unapiga hiyo post graduate,then inafata masters,shahada ya uzamili.Habarini wadau je hii course inayotolewa pale udsm ni sawa na mtu aliyesoma degree ya electrical engineering?
Kuna umeme wa majumbani na umeme wa mkubwa (kidatu). Hiyo kozi ina deal na umeme mkubwa... Kutoka kuzalisha mpaka kuusafirisha kutoka bwawani.Habarini wadau je hii course inayotolewa pale udsm ni sawa na mtu aliyesoma degree ya electrical engineering?