Habari wajameni! Naomba kuuliza kuhusu post za kazi walizo tangaza postal bank kama 3 weeks hivi. Kuna yeyote aliyeitwa 4 interview? au wameshaweka ndugu zao. Umefika wakati na haya mashirika ya serikali watumishi watafutwe na tume ya ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.