Posta mpya na kina mama ntilie na mitumba

mastersajenti

Senior Member
Dec 4, 2015
165
24
Hakika huwezi kuamini kuwa eneo ambalo ni kioo cha Jiji Leo pamekua eneo la kufanyia biashara za mama ntilie na wauza mitumba.

Tunaiomba Manispaa ya Ilala iwatafutie eneo mbadala wajasilia Mali hao haipendezi kufanya biashara eneo hilo.
 
Ingekuwa wewe ndio muuza Mitumba huko Posta au kuna Mama lishe anayekuhusu kwa ukaribu zaidi wala usingeleta hii post,japo una point nzuri.
 
Ndio maana nimeshauri watengewe eneo mbadala utawala Wa magufuli ni Wa usafi sio biashara popote mkuu
 
Watoto wa Mbwa masikini ambao wamesomeshwa na kodi za Wauza Mitumba na Mama Ntilie huwa wanatia aibu sana wanapoanza kudhani kuwa wao ni bora kuliko mama zao waliowalea.
Hili ni jipu, eti Kioo cha Jiji, ndio, Jiji letu ni jiji la mitumba na mabanda mabanda, acha ionekane hivyo, wakukerani takataka wewe?

Siuzi mitumba wala sina banda, lakini juzi tu nimepata huduma ya viwalo na msosi Posta, kwa bei nafuu. Msomi ukapimwe kichaa, ni bure kwenye hospitali yoyote ya Wilaya iliyo karibu nawe.
 
We mpumbavu sana hebu acha kuandika thread na kuchangia mada kwa kutumia hoja za kukariri.....s..t..u..pd indeed
 
Hakika huwezi kuamini kuwa eneo ambalo ni kioo cha Jiji Leo pamekua eneo la kufanyia biashara za mama ntilie na wauza mitumba.

Tunaiomba Manispaa ya Ilala iwatafutie eneo mbadala wajasilia Mali hao haipendezi kufanya biashara eneo hilo.

Haipendezi kwa nani? Mbona WatanZania wengi hatuna tatizo na hilo?

MMesubiri Uchaguzi umeisha sasa mnataka kuanza kukimbizana na mama ntilie eehhh??
Nendeni bandarini mkazuie makontena yasitoke bila kulpiwa kodi.
 
Ingekuwa wewe ndio muuza Mitumba huko Posta au kuna Mama lishe anayekuhusu kwa ukaribu zaidi wala usingeleta hii post,japo una point nzuri.

Wala hana point nzuri, ni MPUTUMBO huyu. Biashara ni watu sio eneo. Hata maduka mengi na showroom za magari siku zote, nchi zote utayaona zaidi kwenye njia zinazoelekea airport. Huyu mbumbumbu anadhani kinachowapeleka mama ntilie posta ni kwamba Chanika walikotoka hakuna ardhi.

Sikiliza wewe mtoto wa FB, WATEJA wao wapo pale, ukishawatafutia hilo eneo utawatafutia na wateja? Mi ningekuelewa kama ungesema watafutiwe utaratibu wa kuwepo eneo hilo kwa kujengewa vibanda kama pale mnazi mmoja, we unakuja na utumbo wa eneo.
 
Waliachwa wakati wa kampeni. Hata usingeleta habari yako hii, siku zao zinahesabika tu. Sio Posta tu, hata wale ndugu zangu wa barabara ya DART Kkoo nao siku zao zinahesabika. Yangu macho!
 
Watoto wa Mbwa masikini ambao wamesomeshwa na kodi za Wauza Mitumba na Mama Ntilie huwa wanatia aibu sana wanapoanza kudhani kuwa wao ni bora kuliko mama zao waliowalea.
Hili ni jipu, eti Kioo cha Jiji, ndio, Jiji letu ni jiji la mitumba na mabanda mabanda, acha ionekane hivyo, wakukerani takataka wewe?

Siuzi mitumba wala sina banda, lakini juzi tu nimepata huduma ya viwalo na msosi Posta, kwa bei nafuu. Msomi ukapimwe kichaa, ni bure kwenye hospitali yoyote ya Wilaya iliyo karibu nawe.

Aaaaah, mjomba Mphamvu long time no see you brother, wapi kujificha weye?

Bora huyu good for nothing kakuibua nimekuona, mi nikadhani labda ulidandia kontena?
 
Last edited by a moderator:
Aaaaah, mjomba Mphamvu long time no see you brother, wapi kujificha weye?

Bora huyu good for nothing kakuibua nimekuona, mi nikadhani labda ulidandia kontena?

Achana na hawa takataka. Nipo muda mrefu mkuu, ila wanga wengi hasa kipindi cha uchaguzi, na mamluki wengi waliokuja kuhubiri mabadiliko ya kichwa chini...
Nipo sana tu!
 
Last edited by a moderator:
Wafuasi wa Chadema bwana utawajua tu wanahoja za kipumbavu hata kama ulisoma Kwa mama yako kuwa mama ntilie haijalishe tunachotaka hiyo biashara ya mama yako ifuate utaratibu nina wasiwasi Na mama ntilie wako Kwa kuwa anakusomesha atafungua kilabu cha wanzuki pale penye Sanamu ya Askari.Uongozi Wa Manispaa ondoeni uchafu eneo la Posta mbona kule ufukweni Na Bahari kuna mama ntilie Na watu wanaenda?
 
Back
Top Bottom