Post za Ualimu ambazo Watu walijaza hivi karibuni zinatoka lini?

Mr eze95

Member
Feb 1, 2019
34
24
Habarini za muda huu..

Ni imani yangu kila mmoja wetu amefanikiwa kuifikia siku ya leo na kama ni hivyo basi hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ya uzima.

Bwana mi langu moja tu, nilikuwa nauliza ni lini post za ajira ambazo wadogo wetu waliomba siku za hivi karibuni zitatoka? Ikumbukwe tu kuwa deadline ilikuwa tar 15 march, 2019

Kwa mwenye dondoo tukifahamishana Tutakuwa tumesaidiana sana.

Akhsanteni
 
Habarini za muda huu..Ni imani yangu kila mmoja wetu amefanikiwa kuifikia siku ya leo na kama ni hivyo basi hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ya uzima.

Bwana mi langu moja tu, nilikuwa nauliza ni lini post za ajira ambazo wadogo wetu waliomba siku za hivi karibuni zitatoka?? ikumbukwe tu kuwa deadline ilikuwa tar 15 march, 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuu WATANZANIA tunashida "wadogo wetu" kwan Ukisema umeomba kuna shida gan hapo? ????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za muda huu..Ni imani yangu kila mmoja wetu amefanikiwa kuifikia siku ya leo na kama ni hivyo basi hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ya uzima.

Bwana mi langu moja tu, nilikuwa nauliza ni lini post za ajira ambazo wadogo wetu waliomba siku za hivi karibuni zitatoka?? ikumbukwe tu kuwa deadline ilikuwa tar 15 march, 2019.

Kwa mwenye dondoo tukifahamishana Tutakuwa tumesaidiana sana.

Akhsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan deadline ilikuwa tareh 15 na leo hii ni 18 unaulizia kutòka? Aisee kweli msoto wa ujobless nì noma sana

Mkuu subiri hàta mwezi mmoja upite ndo uùlīzie, hapo kutoka yaweza kuwa mpaka mwezi wa 6
 
Gani wewe deadline juzi unaulizia Leo zinatoka lini? Watumie email TAMISEMI waulize watakuwa na jibu zuri sana......
 
Habarini za muda huu..

Ni imani yangu kila mmoja wetu amefanikiwa kuifikia siku ya leo na kama ni hivyo basi hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ya uzima.

Bwana mi langu moja tu, nilikuwa nauliza ni lini post za ajira ambazo wadogo wetu waliomba siku za hivi karibuni zitatoka? Ikumbukwe tu kuwa deadline ilikuwa tar 15 march, 2019

Kwa mwenye dondoo tukifahamishana Tutakuwa tumesaidiana sana.

Akhsanteni
mwambie akalime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mwana alipokuwa anaomba maombi network ikawa inzazingua, akapiga simu kulalamika. alijibiwa kuwa network ni mbovu kwako huku kuna maombi e98,762,011

jitahidi uombe uwe wa 98,762,012.

alikata simu. karibu chai
Uongo wa stg, najua unajaribu kukatisha tamaa watu

Pambana kijana, hiyo idadi umeyoandika uaijua kweli, hahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom