Post za matangazo ya engineering jobs

Post za matangazo ya engineering jobs

Wakuu kuna tangazo sehem au unaconnection za kaz engineering jobs popote tanzania post kwenye huu uzii only engineering na technician

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Dah ni nuxsi mkuu ,hebu ingia ajira portal , ajira za Engineering ni chache kinoma nchi hii , Mimi mwenyewe ni Engineer kama wewe Ila sijafanikiwa kupata mchongo bado

Anzia Kwanza ajira portal naona wameanza na za tutors WA vyuo vya serikali Kwa watu wenye fani za Engineering .

Pia ukitaka kupata kuona chache zinazotangazwa ingia Google halafu type "New Engineering jobs in Tanzania" hapa kila website local ya matangazo ya ajira ita appear then utaingia koja baada ya nyingine .

Tuwe tunapeana updates mbalimbali wahandisi , naona wengi wapo kimya sana humu , tunazidiwa na walimu .

Mi Nina shahada ya uhandisi WA umeme na electronics we unafani gani ?

Tupeane michongo wahandisi aisee
 
Mkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).

Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
 
Attachments

  • IMG-20220701-WA0002.jpg
    IMG-20220701-WA0002.jpg
    44.8 KB · Views: 49
Mkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).

Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
Hata washikaji zako hawana connection au ulikuwa Huna ushirikiano nao wakati upo Chuo kwa sasa wanakutenga kwenye michongo
 
Mkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).

Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
Poa mkuu
 
Tupe connection Hilo mi Nina shahada ya Electrical and Electronics na nasikia Australia currently kuna serious shortage ya skilled labour sema hii michongo ni connection Tu , ni connect na huyo jamaa basi au kama vipi drop contact yake hapa tumcheki Kwa WhatsApp au kama vipi drop contact yako hapa tukucheki whatsapp jomba
 
Wakuu mm mechanical technician moja sababu ya kuanzisha huu uzi kwamba kama mtu yoyote kuona kampuni watoa post tupean connection we engineering wakuu tujikwamue

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Electrical engineering ambae hana kazii kuna nafsii mmoja ukicomment wek namba bachelor lkn wakuu chapu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Tupe connection Hilo mi Nina shahada ya Electrical and Electronics na nasikia Australia currently kuna serious shortage ya skilled labour sema hii michongo ni connection Tu , ni connect na huyo jamaa basi au kama vipi drop contact yake hapa tumcheki Kwa WhatsApp au kama vipi drop contact yako hapa tukucheki whatsapp jomba
Mkuu wa bachelor ya electrical naomba namba yak kbal ya saa saba ni kazii kuna nafsii mmoja tu

Back
Top Bottom