habari wana jf bila shaka na mimi ni mmoja wapo kati ya wale wenye kusubiri post za kidato cha tano na tatizo la kucheleweshwa kwa hizi selection wala hatuzijui,kwa hiyo sasa cha msingi wakuu wangu jambo ambalo inabidi tulifanye ni kuzungu na kujadili ni kwa nini mpaka muda huu wala hazijatoka hizi selection zetu na sio kutoa tetesi za uongo na kutoleana maneno machafu humu ndani. MTAZAMO WANGU HUO