Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
subir kidogo mpaka walimu walipoti kazini
 
Kumbe humu ndani wapo hawa manyoka. dah JF imeshakuwa nyavu. Mungu bariki Jf.

Ficha ujinga wako...kwa jinsi ulivo siamini kama wewe ndiye ulipost huu ujinga...

Kwanini usifurahi na kukaribisha vijana wadogo kama hawa ili wawe na wao ni ma GT..

Inaonekana computer ungegundua wewe usingewapa watu wengine..shame on you
 
kweli kabisa kwa kitendo alichokuwa amekifanya sijapendezwa nacho, nashukuru sana mkuu kwa kuweza kumueleza ukweli uyo ndg
 
wanatuchungulia ao mwanangu
 
Mkuu nimekupata vizuri anyway ilikua kama utani tu , vijana karibuni jukwaani , mkuu chuma cha reli lets peace reign between me and you . seleman msumeno karibuni sana jukwani ni matani dont take it serious.
Ficha ujinga wako...kwa jinsi ulivo siamini kama wewe ndiye ulipost huu ujinga...

Kwanini usifurahi na kukaribisha vijana wadogo kama hawa ili wawe na wao ni ma GT..

Inaonekana computer ungegundua wewe usingewapa watu wengine..shame on you
 
Last edited by a moderator:
Usijali kijana post zitatoka tu mwez wa 6 kama tulivyo fanyiwa ss mwaka jana we vumilia tu...
 
Hilo ndo kubwa zaid..zile form ni kwa ajili ya kulinda democracy tu..kuna shule hazchaguliwi kabisa...unafikiri watapelekwa kina nan?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…