Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano, kwa kweli serikali ituonee huruma huku mtaani tulipo tumekaa mpaka tumechoka au kwa yule anayejua au hata fununu kuhusu hizo post zinatoka lini, tena tafadhali sana tujulishe ndg.
Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano,kwa kweli serikali ituonee huruma uku mtaani tulipo tumekaa mpaka tumechoka,au kwa yule anaye jua au hata fununu kuhusu hizo post zinatoka lini,tena tafadhali sana tujulishe ndg.
Sasa Kitaani Kumekuchosha Vp? Maana Post Hata Zikitoka Kwenda Shule Had Mwezi Wa7 Hivyo We Tulia2 Zitatangazwa Mda C Mrefu Haraka Ya Nn?
Kumbe humu ndani wapo hawa manyoka. dah JF imeshakuwa nyavu. Mungu bariki Jf.
Hahaha ~ subirien maana mmezoea kutumiwa hela za matumizi ~ mtaani lazima upge kazi ule~ hahaha poleni wa lofel kama akina siyee
Usi~maind hata mm nimemiss kwenda college ila pesa ndo tatzo ndg
ndo ivo ndg bt unajua kwamba kwa m2 yeyote aliye maliza kidato cha nne time kama hii anakuwa anawaza kwenda shule au chuo kwa hiyo ni jambo la kawaida sana yan
Et boy nielekeze jinsi ya kuweka mada watu wakusaidie mm cfahamu ndg~ can you help me
ni rahisi sana girl,cha kufanya ni kwamba kwa mfano ukiingia kwenye education forum kwa juu au mwanzo wa forum utakuta sehemu wameandika new topic kwa maandishi madogo,we click hapo hapo af uendelee
Haaa! Sura gumu lote ilo unaliita girl~ au na wew unatumia dawa