Kakajambaz Jr
Member
- Oct 4, 2012
- 59
- 13
samahan ndugu zangu naomba mnisaidie kujua nafasi za kujiunga na jeshi mwaka wa 2013 zinatoka lini au zimeshatoka,na utaratibu wao wa kutuma maombi uko vipi.
Umepitia JKT?

HApa kazi ipo kila sehemu wanabana