baltazarmushy
Member
- Feb 19, 2012
- 8
- 0
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa topic za advance zilzopo kwy comb ya PCM nanivitabu gan essentials vinavyotakiwa ili uweze kuwa full equipped ikwezekana pamoja na gharama zake,ova!