Post za chuo kwa walopata 3 ya point 25, zinatoka lini?

Post za chuo kwa walopata 3 ya point 25, zinatoka lini?

Nami ninaomba kujua kuhusu application za NACTE,watatoa lini application
 
dah yaan me nacte pamekuwa kama ghetto kila siku naingia af hamna ishu
 
kwani hata fununu hazjackika kuhusu [HASHTAG]#nacte[/HASHTAG] online jamani make kitaaaa kinaboa kiukweli doooohu
 
Back
Top Bottom