Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Poa mkuu tena ndio amespecialize moja ya pozi zake adimu sana hizi hapa enzi za utotoni
hizi mambo zako nguli huwa unaziibua wapi?
napenda sana
Nimekuwa nikifuatilia visa vya huyu jamaa.
Jamani naona maisha yake yamejaa wingi wa vituko na vihoja, jamaa ni mjasiri na wala haoni aibu hata kusimulia kwenye kadamnasi yale makubwa yaliyomkuta.
swali langu kubwa ni moja, je kwanini avatar yake kaweka pisa ya Osofia in London?
Kama kuna mtu anamjua fresh Bujibuji, naomba ani pm ili nikusanye some info, na kama Bujibuji yuko tayari tushirikiane kuandike kitabu. naamini kitauza sana.
Bujibuji is Real Talented
Bujibuji yuko nondo, napenda sana threads anazozipost humu!
naona bujibuji ameadimika jukwaani,nimemiss nyuzi zake
Hahahahaaaaaa, jamaa ukimuona LIVE ni mpole halafu ana aibu sana!Shhhhhh!!!!!!!!!!!
Fumbeni macho niwaombeee
<br />hizi mambo zako nguli huwa unaziibua wapi?<br />
napenda sana
<br />Ukute huyu jamaa ni mmoja wa mihimili ya origino komedi