post ya 2017 Inapounganishwa Kwenye Post ya 2014 Ndio nini?

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Nilikuwa na Post Inayosema Magufuli ni Fisadi Tangu Zamani, Swala la Makinikia ni Kampeni chafu za 2020. Sasa hii Topic inahusiana na Vitu Current, ingawa inatoa info za Tangu 1997 To 2015. Wengi wamechangia na Kuisoma na Mara Pu inaunganishwa na Hoja ya Mwaka 2014 Inayosema Ufisadi wa Maguguli wawekwa waziwazi. Najua haikuwa Kwa nia Mbaya, Ila wajameni Muda ni Factor Muhimu katika Presentation!

Second, Nilichoona hapa JF ukiweka hoja inayohusu Bashite, hasa Ukiwa Umetaja Bashite kwenye heading, Ikidumu one hr bila kufutwa au kuunganishwa na hoja ya isiyohusika au hoja ha 2011 basi Mshukuru Mungu!

What is really Going, on? Sisi Tunataka JF iendelee na inasaidia sana, sana sio mchezo, Inasaidia sana Taifa ila kudhani kuwa haiwezi kuhujumiwa ni kuwa so naive!
 
Back
Top Bottom