Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,369
Kumbe mie ni nani wako?khaaaaaaaaaaaaaa, wallah sina mume!
Si unaona navowapiga watu shule ya kujiunga na Chit Chat? Umeona chuchu dodo za bibi yenu? Huwa nazifaidi sana kuzinyonya.
Kumbe mie ni nani wako?khaaaaaaaaaaaaaa, wallah sina mume!
khaaaaaa nahisi ni a certain village cjui nchi gani, niliwahi ona hao watu NATGEO-WILD! LOL!Kumbe mie ni nani wako?
Si unaona navowapiga watu shule ya kujiunga na Chit Chat? Umeona chuchu dodo za bibi yenu? Huwa nazifaidi sana kuzinyonya.
Mwakani naanza rasmi kazi ya kukagua minyama uzembe, wajukuu ntakuwa nshawamaliza..... Waambie kina Mamndenyi na wenzake wakae mkao wa kukaguliwa.
Unanichanganya kusema location wameibann?
Za siku mtoboa?
Hapo pekundu ndo pananileteaga F
Hata sijajielewa.
Pancrease!
Congra!
Ever since we leaved together here in Jeifu, i knew you were one the best.
And i'm glad to see that your TALENT is being recognized, best of luck in your new position, (i mean post of 15001)
hopely this is just the start of many more successes to come!
wee husikii watu wanafungwa kwa makosa ya 'rep'?
Rep power ni nguvu ya kumbaka umtakaye hapa jf.
Ndo maana nalalamika mbona zangu ndogo? Kuna mtu pawafu sana nammendea akiwa anatoka shamba nimvae.
kati ya hizo 15000 posts ngapi uliandika pumba:biggrin1:, zenye points za nguvu, za kutongozea, za kuandika kwa hasira na zile za kupiga chabo?
Dah, nimeamua tu kujipongeza kwa post ya 15,000
Afu bana, mapost meeengi rep power kidogoooo
Ni sawa kuwa na kichwa kikubwa afu napata F
Muwe basi mnaniona ona nyie mnaosahihisha mtihani japo nipate idi amini DADA
Natuma salamu kwenu wote chit chatters, kwa wababa kiwakilishi chenu ni Bishanga, kwa wadada kiwakilishi chenu ni Lizzy.
Basi tukutane niwape makitu adimu. . .