Hebu nihesabie posts zangu afu unijulishe kwa PMDah, nimeamua tu kujipongeza kwa post ya 15,000
Afu bana, mapost meeengi rep power kidogoooo
Ni sawa kuwa na kichwa kikubwa afu napata F
Muwe basi mnaniona ona nyie mnaosahihisha mtihani japo nipate idi amini DADA
Natuma salamu kwenu wote chit chatters, kwa wababa kiwakilishi chenu ni Bishanga, kwa wadada kiwakilishi chenu ni Lizzy.
Basi tukutane niwape makitu adimu. . .
Hebu nihesabie posts zangu afu unijulishe kwa PM
Siku inbox yangu ikipata PM yako wallah...Ntachezaje twist sasa?Tayari nimekujulisha kwa PM.
Mwakani naanza rasmi kazi ya kukagua minyama uzembe, wajukuu ntakuwa nshawamaliza..... Waambie kina Mamndenyi na wenzake wakae mkao wa kukaguliwa.Natumia nafasi hii kumpongeza Ashklimu, oo sorry ODM kwa kuwa na post nyingi.
Ujumbe, najiandaa kwa kombe la 2013 Man of Ukaguzi..
gues bruz can do, nina hamu ya kumbamba mtu!Unapenda bruzi au segere?