Post nyererelism | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post nyererelism

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, May 19, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  There are a lot of people who think that the absence of Nyerere in present Tanzania is the source of all problems we face.I detest that,and i feel we have to move beyond that.He was good politician and stateman,like Mandela,Nkrumah ,Kaunda etc

  We have to remember the following:

  1.Nyerere gave us Mkapa,who i think is worst than Kikwete,because all fisadi deals where under his leadership.Also the sin is that Mkapa na his family did business when he was in State house,using public fund to buy the doomed Kiwira mine. FACT
  2.Nyerere himself didnt tolerate opposition,so we didnt have the culture of opposition which is manifesting todate.He infected the public with mashushu,anyone opposing his view was dealt with heavy hand.Ask the families of Kambona,Mapalala,Kasela Bantu,Chief Makwaia and many others. FACT
  3.CCM is the product of Nyerere.The model and machinery is the same as it was in TANU era.Tribalism,Regionalism,Nepotism was a fact even in Nyerere time.Who dominated the ARMY,NIC,NBC .We have the same guys who were with Nyerere all those yrs holding positions in the CCM, Mwinyi, Kingunge, Malecela Sitta and Msekwa. So Kikwete is just the figure,but all these guns know the system,they will never abandon this model,cause thier children have benefited from the system. FACT

  So it is red herring to bring Nyerere in this situation,we have to move on and confront the current situation before it become too late.
   
 2. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli mmakonde! Unashauri watu wasahau historia ya nchi yao!!! I think you are just being driven by your personal hatred and vandalism towards the good name and work of Mwalimu. Wee ulie tu. Watu wataendelea kumtaja na kukumbuka ya Mwalimu mpaka hapo mmakonde kama wewe utakapojua kuheshimu michango na sacrifice ya Waasisi wa Taifa hili katika kuwajengeeni taifa ambalo leo hii mnajitapa kwa kila ajae kwamba ni Taifa la amani na utulivu. Amani na utulivu vinajengwa/vinaundwa havioti kama uyoga na vina sacrifices zake na machungu yake vile vile, ndo hayo ya kuumia baadhi ya watu wakiwemo hao watu uliowataja.

  You are one of those guys who know nothing about the real history of Tanzania. Unajua ya kusikia tu kutoka kwa watu walioumizwa na Mwalimu kutokana na uroho wao wa madaraka, wivu ama chuki binafsi. CCM is a product of TANU na kama unafuatilia siasa za Mwalimu objectively na si kwa chuki utaelewa kwamba CCM ilipoanza kwenda kombo Mwalimu aliitolea nje kwa kusema kwamba CCCM si mama yake .....

  Kwa nini umlaumu Nyerere kwa kuendelea kuwepo kwa akina Sitta, Kingunge, Msekwa etc miaka 10 baada ya kifo cha Mwalimu ama kwa ulafi wa Mkapa ambaye aliharibikia ukubwani baada ya Mwalimu kufariki? Tatizo ni Mwalimu ama ni wewe na 'wamakonde' wengine ambao wanaendelea kuwachagua na kuwapa vyeo na sifa kedekede hao watu?

  It is obvious wengine tunachangia ili kukuza (improve) kiingereza ama kiswahili chetu!
   
 3. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bora maisha,debate ni nzuri,kusema sijui history ya Tanzania,jujui mimi na kisomo gani.Ndio nyie mnavaa mashati ya kijani kujitaka kuwa ni
  wa Tanzania halisi.Sina chuki na Nyerere ,ila sometimes facts lazima zitolewe.He was not saint ,ni kama binadamu wengine.

  Tunasuffer mpaka sasa,kutokana na system aliyoiweka.Simple as that.Kuanzia uhuru wa mahakama,vyombo vya habari na kadhalika.
  Tulikuwa tunasikiliza ujumbe wa leo kila siku (hotuba),unaambia Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM(kiapo).Come on huu ulikuwa kama ukoministi,at least wakomunisti wenzetu wakati huo walikuwa wanatengeneza vitu,sio siasa za uswahili.

  Kubali usikubali,system tuliyonayo ni toka enzi na enzi.Mkapa leo hashikiki,soma toleo la This day kuhusu manyanga yake ya TAN RESOURCES.
  Kuhusu Kiswahili,ni nyie hipocrites mnasema Kiswahili kiwe lugha ya maofisini,wakati watoto wao wakubwa wanasoma shule nzuri ambazo ni English medium.I am glad najua lugha kadhaa za kimataifa.I am free man,siko chini ya viongozi wa kifisadi ambao wanawadangaya wananchi wengi huko vijijiji !

  Mwenzako nimekombolewa kimawazo!Siwezi kujidanganya kama wewe.Naisha na reality ya maisha ya sasa.
   
 4. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  For your information mie hilo shati la kijani hata sitamani kuliona likipita mbele yangu. I am as fed up as you are kuhusu hali ya nchi yetu na hawa viongozi wanakotupeleka. Lakini, ninachojaribu kukuelewesha ni kwamba lazima tukubali kwamba Mwalimu kama kiongozi alijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kulitendea mema taifa hili, tofauti na viongozi waliomfuata ambao wameweza kubomoa karibu kila kitu alichojitahidi kutujengea.

  Naam, nakubali kabisa kwamba Mwalimu hakuwa malaika na aliweza kufanya makosa hapa na pale lakini wakati wote nia yake ilikuwa njema na alikuwa na uchungu wa dhati na nchi aliyokuwa akiiongoza na wananchi wake akitamani kuona kila Mtanzania anapata maendeleo anayostahili.

  Kiswahili ni lugha ya taifa la Tanzania kama vile kimakonde kilivyo lugha ya kabila la wamakonde. Sidhani kwamba imewahi kusemwa popote kwamba nchini Tanzania ni marufuku watu kujifunza na kujua lugha zingine kama Kiingereza, Kifaransa, Kihispania ama hata Kichina na Kijapan. Ni uhuru wa mtu kuamua kujifunza lugha anayotaka. Ndio maana nikasema tumo humu ambao tunajaribu kuboresha
  (améliorer) lugha tunazojifunza na wala sikusema kwamba ni jambo baya....

  Nami pia nimekombolewa ndio maana naweza kuchangia humu JF kwa kujiamini kabisaaaaa!
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  May 19, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mmakonde,

  Mkuu mimi nitakubaliana na wewe sana tu ila unakosea sana unaposema Let's move on hali unaturudisha kwa Nyerere kuelezea hali ya sasa hivi. Sasa sielewi ni nani asiyetaka ku move on kama sii wewe mwenyewe.
  Nyerere aliyafanya aloyafanya kulingana na wakati wake. WATU na MAZINGIRA tuliyokuwepo wakati ule yalisababisha hatua zote alizochukua na matunda yake tuliyaona. Mabaya yote yaliyotokana na Utawala wake ndiyo tuloyafanyia Mageuzi kuanzia mwaka 1984. Alipoingia Mwinyi huyo chaguo la mwalimu alisifika kwa mageuzi yake na Mkapa vile vile sifa zote alizopewa ni kuchukua hatua dhidi ya Ujamaa wa Nyerere. Meaning tulikuwa tuki move on kuachana na Ujamaa wa Nyerere. Hawa wote walibadilisha sheria zetu, uzalishaji wetu, ukusanyaji kodi na utekelezaji wa miradi yetu ya kiuchumi ili kuondokana na jinamizi la Ujamaa.

  Leo mambo yanaharibika mnataka bado kumlaumu Nyerere hali haya yote ni mabadiliko yanayopinga Ujamaa wa Nyerere. Nyerere hakuwaambia CCM kurithi na kuhodhi mali zote za chama, muuze mashirika ya Umma, muuze nyumba za serikali, muuze ardhi na rasimali zetu, Bank Kuu ihusishwa na fedha za EPA, makao makuu yabakie Dar Es Salaam, Azimio la Zanzibar na mengine mengi machafu tuloyafanya in the name of microeconomic reform.

  Ni Ujinga na Ulimbukeni wetu sisi wenyewe kuchukua Ubepari pasipo kuufanyia majaribio kulingana na watu na mazingira yetu. Tumeuvaa Ubepari kwa kuanzisha Maazimio yanayotufunga zaidi ktk umaskini na kuifanya Tanzania jalala la majaribio ya kiuchumi. Chaguo lake Mwinyi na Mkapa ni makosa kweli Je, sisi na kufahamu hivyo tumefanya nini tofauti?..

  Let's move on!
   
 6. m

  magee Senior Member

  #6
  May 19, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  YOU ARE WRONG........WE GAVE MKAPA THE SEAT,IT WAS YOUR VOTE.......AND IT IS GOING TO BE YOUR VOTE AGAIN TO CHANGE THINGS.
  IT IS HIGH TIME KUACHA KUTAFUTA MCHAWI NA KUPIGANIA OUR LIBERTY,
  matatizo tuliyonayo leo hii ni kutokana na kukosa maarifa na ujinga wetu wa kusubiri kuambiwa kila kitu,ubinafsi pia utatuuwa kwa wale waliokuwa previleged with maarifa kwa kugoma kuwaelimisha wale wasijua kabisa.......hasa sisi wana JF tu wabinafsi,ndio nasema tuwabinafsi,KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA!!!!tuungane twendeni vijijini tuwaelimishe wale wakule,tuwaambie ukweli wa mambo hasa tunapoelekea kwenyeuchaguzi mkuu watunze kura zao,wazitumie vizuri.we are the problem.
   
Loading...