wapendwa the current system of eating after giving birth to a baby needs to be re-checked.....sijui ni ukosefu wa elimu au nini??? nachojua mzazi akitoka kujifungua anashindiliwa mavyakula km supu ambayo ni fat content na anaachiwa asifanye kazi ndogo ndogo...kuja kushtuka mwili huoo,anaanza kujichukia mwenyewe,tubadilike wapendwa kula balanced diet matunda na vegetable kwa wingi na mazoezi lightly km kutembea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,siku njema🙂
Haya tumekusikiaaaaa. Shape hata mbuzi anayo
Una watoto wangapi? Sio mibange tu hapa! Ndo maana vitoto vya siku hizi vidogo dogooooo! Na ukipata sistaduu wewe ujuwe unakaribisha utapiamlo tu!
Hivi wanakuwaje, kama huyu hapa chini?
mkuu sijakuelewa..
Huwezi kuelewa maanake hata hujuwi herufi kubwa ni nini!
he wewe hunipati ng'o:tape::tape: