Japo wengi waliyimwa kupiga kur kwa mizengwe kama ulivyoainisha, bado idadi ilotolewa na tume ni kubwa mno na vigumu kuiamini. Zinabaki kuwa tarakimu tume ilzobuni ili kuhalalisha matokeo walojitengenezea. Japo wengi walinyimwa kupiga kura, zilizopigwa na kuhesabiwa hazikuhusika kwenye kutengeneza matokeo. Yaelekea tume iliamua kujitahidi idadi ya kura katika kila kituo iwiane na alizopata mkwere. Masanduku ya Tunduma yangefanikiwa kuingia walivyokusudia labda idadi ingezidi hata 20m na wangezua maelezo mengine.
Ana maana waliojitokeza ni wengi kuliko idadi iliyotajwa na tume. Ila tume imefunika kura nyingi sana za wapinzani wa ssm kwa upande wa uraisi, na ndio sababu Slaa amepewa kura chache kuliko wabunge wake pamoja na madai ya wapiga kura kusema walipiga tatu bila!Mkuu,
Una maana waliojitokeza ni wachache kuliko idadi iliyotolewa na NEC? Na kama ni hivyo kwa nini wengi hawakujitokeza?
Kazi iliyoko mbele ya wapinzani sasa hivi ni kuhakikisha katiba iliyopo inabadilishwa na mfumo mzima wa NEC nao ubadilishwe ili siku zijazo kura iwe kura kweli.Sasa hivi ni zoezi la kukamilisha wajibu wa kikatiba tu.
Wanajukwaa la Jamii
Hatimaye NEC imetangaza matokeo yote rasmi ya Uchaguzi Mkuu 2010. Katika mchanganuo wa wapiga kura NEC imetoa takwimu zifuatazo:
Wapiga Kura Waliojiandikisha ni: 20,137,303.
Na Waliojitokeza Kupiga Kura Ni: 8,626,283 sawa na asilimia 42.84%.
Hii ina maana waliojiandikisha lakini hawajapiga kura ni: 11,511,020 sawa na asilimia 57.16%.
Ni jukumu letu pia kuangalia ni kwa nini wapiga kura wengi hawakujitokeza. Tusaidiane kuangalia sababu hizi nami nitaanza kwa chache ambazo nimezifanyia utafiti kwa kuwauliza wale ambao walijiandikisha lakini hawakuweza kupiga kura:
1. Hawakuona majina yao ingawa walijiandikisha
2. Walikuwa safarini nje ya Wilaya, Mkoa au Nchi
3. Walikuwa sehemu tofauti na waliojiandikisha
4. Walikuwa wagonjwa
5. Kuna ambao wamefariki katika kipindi cha uboreshaji wa daftari na kipindi cha kupiga kura
6. Kuna walioondolewa kwa madai kuwa wamekufa lakini wako hai.
Je, kwa maoni au utafiti wako ni sababu gani nyingine zilizowafanya watu wasijitokeze kupiga kura?

Mkuu Kabla ya Yote ni Lazima tujiridhishe kwamba je hai wapiga Kura 20,000,000 walikuwepo kweli au kulikuwa na Wapiga Kura Hewa ili kutoa nafasi kwa Uchakachuaji?