Post moja watu mia saba duuuuh!!

Post moja watu mia saba duuuuh!!

Kwahiyo ulitaka uitwe pekee yako....?? Ndio maana kuna usaili wa mchujo...........ila kama vipi endelea kusubiri interview utakayoitwa pekee yako.

Acha kutoa mapovu....nani aliekwambia nataka niitwe peke yangu ?Kuna sehemu hapo juu nimeandika nataka niitwe peke yangu ?hata wasiponiita mimi ni sawa ili yafaa uwiano wa nafazi za kazi ulingane na idadi ya walioitwa kwenye usaili....Division 5 unashida sana wewe
 
Sawa division one subiri muitwe wachache ndio uende hizi za watu wengi waachie division 5......
 
Msipoitwa mnalalamika, tatizo mnacopy na kupest CV kiasi kwamba maafisa utumishi wanashindwa kuchuja kutoka kwenye CV.
mkuu, kama wanashindwa kuchuja kwa nini wanawaambia watu wafanye applications??? naomba ni bora watangaze kuwa watu wote wenye sifa hizi waje kwenye usaili nchi nzima.........
 
Back
Top Bottom