Sam Seaborn
Member
- Aug 20, 2011
- 98
- 39
Hivi kuna mtu anaweza ku predict JK akishaondoka in 2 years time hali itakuwaje na watu gani wataathirika positively au negatively?
Na legacy yake itakuwa ni nini?
Na je atakuwa ana rank gani kati ya marais ambao TZ imepata kuwa nao?
Je atakuwa na roles zipi akishamaliza?
Na legacy yake itakuwa ni nini?
Na je atakuwa ana rank gani kati ya marais ambao TZ imepata kuwa nao?
Je atakuwa na roles zipi akishamaliza?