Jaman wakuu naomba mnisaidie kujua post iliyochangiwa had leo tarehe 04feb2011
nahitaji tu kufahamu hata kama mods watanisaidia hiyo itakua poa sana......naombeni msaada wenu please........
Sahihisho sio post iliyochangiwa sana bali thread iliyochangiwa sana, inawezekana ikawa ni hii hapa chini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa jukwaa la wakubwa sina uhakika lakini