post graduates

sky_haf

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
220
23
wadau naomba kuuliza hii kitu post graduate ni kiwango gani cha elimu, unaingia ukitoka diploma au master au degree?
Kawaida unasoma kwa miaka mingap na ukitoka apo unaendelea na kiwango gani cha elimu? Anaweza kuchukua mwenye advanced diploma?
Naomba kuwasilisha mada...
 
Ni Masters Kasorokasoro hivi, au Bachelors na nusu hivi. Yaani umevuka First Degree lakini bado kidooogo kuwa Master.
 
post graduate t mins huna pasmark za kustdy LL.M...lyk weng wanataka 3.5,af we una 3.2 au 3.0..u must do p.graduate.. Ni 1 yr!

2)unaeza fanya P.G kama unatoka field nyngne na kuhamia field nyngne
 
Vp kama una advanced diploma waweza chukua P.G?
 
Back
Top Bottom