Post au selection za form five 2016/2017 lini?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Wakuu salamu
Naombeni kuuliza lini post zitatoka kwa mwenye tetesi anaweza tuambia pia je wanafunzi wataanza kufanya maandalizi lini na ningependa kujua process za uhamisho ukipangiwa shule hauko tayari kusoma
 
kama mwaka Jana zilitoka mwishon mwa mwez wa sita basi mwaka huu tegemea hivohivo
 
Wakuu salamu
Naombeni kuuliza lini post zitatoka kwa mwenye tetesi anaweza tuambia pia je wanafunzi wataanza kufanya maandalizi lini na ningependa kujua process za uhamisho ukipangiwa shule hauko tayari kusoma
Kama economic status yako haihitaji kick kutoka kwa majirani wewe tulia tu mwezi wa saba shule utaenda lakini kama inahitaji kick basi miezi miwili hii iliyobaki ifanyie kazi vizuri.
 
Sijakuelewa mkuu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…