Possibility of getting pregnancy

Possibility of getting pregnancy

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Morning, shortly nina swali.

Kama mwanamke alianza period (bleed) tarehe 12 afu akafanya unprotected sex tarehe 29 mwezi huo huo anaweza kupata mimba?

Karibu wakuu
 
Hapo danger kavuka

Ila ya Mungu mengi
 
Daah haya makitu ya tarehe hata cjui bora kuvaa condom maana unaweza kuuziwa mzigo sio wako
 
Nadhani uwezekano ni mgumu mkuu, hapo itakua tarehe 29 ni siku yake ya 18 katika mzunguko wake wa hedhi, yai likitoka tarehe 14 huwa linakaa siku 3 mwisho 4 ukiangalia kwa umakini utagundua siku ya 17 ndio mwisho wa danger, ila wataalamu zaidi watakujibu hapo nimenajaribu tu.
 
Morning, shortly nina swali.

Kama mwanamke alianza period (bleed) tarehe 12 afu akafanya unprotected sex tarehe 29 mwezi huo huo anaweza kupata mimba?

Karibu wakuu
Kuna possibility because ovulation starts 14 days after menstruation so days you likely to conceive ni 26,27,28,29 and 30
 
Back
Top Bottom