Kwanza hakuna kazi ya professional kidato cha sita hilo ni moja.Kwa hiyo ukitaka kazi ya kiwandani ni lazima utafute kazi za mikono sawa na ambaye hajakanyaga shule,suala la kuwa msimamizi halitategemeana na wewe kuwa kidato cha sita bali uzoefu katika kazi husika.