Posho za Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata

Godbless .m.

Member
Dec 3, 2011
48
11
Mwaka 2015 Ilisemekana kutakuwa na Posho za Walimu wakuu na Waratibu Elimu sasa mpka Leo sioni chochote kinachoendelea au ndo kusema ilikuwa ni gia za kisiasa??? Utekelezaji wa mpango huu upo?
 
Bora tu hata zisiwepo maana kwa baadhi ya wakuu wa shule na waratibu elimu kata zitaongeza manyanyaso kwa waliochini yao na kujiona wao muhimu zaidi kuliko wengine kiufupi wengi wao malimbukeni
 
Wanakaz nyingi sana pamoja na kuwabana walimu wasitoroke hovyo vituoni
 
Mwaka 2015 Ilisemekana kutakuwa na Posho za Walimu wakuu na Waratibu Elimu sasa mpka Leo sioni chochote kinachoendelea au ndo kusema ilikuwa ni gia za kisiasa??? Utekelezaji wa mpango huu upo?
Wewe umesikia wapi mkuu weka chanzo chako umepata wapi.
 
Back
Top Bottom