Posho za JKT ni shillingi ngapi?

Posho za JKT ni shillingi ngapi?

Dogo, mm mwenyewe NINAPENDA SANA JESHI MPAKA NINAUMWA AISEEEH Lkn usawa Wa Magu ni mbaya sana.Kwa kawaida mtu huenda kule jkt ili apate ajira jeshini MF.JWTZ, POLISI N.K lkn mambo yapo ndivyo sivyo kwa miaka hii, Luna uwezekano ukaenda JKT halafu mda wako (mkataba) ukaisha huku hujapata ajira JWTZ, TISS, POLISI MAGEREZA N.K kwa hiyo unakuwa umepoteza miaka miwili (au mitatu bure !!! ) ukirudi kitaa km hujajaaliwa kupata ajira kule, unaanza masha upya ! Unazidiwa na uliemacha mtaani.Kwa hiyo, km huna mtu kule jeshini ambae atakusaidia, ni htr sana.Lkn ni ww tuu na utakavyoamua

Angalia huu Uzi ndo ujue
Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira
Sawa ngoja nipost tena niombe ushauri labda lakn napenda kweli
Kulitumikia jeshi
 
Hiyo ni ya kwenye maandishi lkn kiuhalisia ni kwamba kuruti wanaishia kupata 30K au 40K (maximum) wakubwa wanazazifyeka ile ile 7bu ya kuruti kuchangia michango mbalimbali ya kijeshi.
Unajifanya unalijua sana jeshi lakini hujui kitu
 
Back
Top Bottom