pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
- Thread starter
-
- #21
Huu ni mtego mkubwa sana kwa chadema sijui kama watachomoka..
Mibunge ya CCM ambayo ndio mengi haiwezi kukubali hii!Safari hii najua Zitto atakuja na hoja binafsi kuhusu hili jambo na atajenga hoja kwa kusema tumuunge mkono raisi wetu katika kubana matumizi.
Hiki kitakuwa kipimo kizuri kwa spika na wabunge wake.
Per diems zipo pale pale! Hiyo sitting allowance ni ya kukalisha masaburi kwenye viti vya bungeni!!Kuna kitu naomba mnisaidie. Hivi ukiondoa hizo posho je huwa wanapewa Per diems, if not, how will they survive while there?
Je unajua tofauti ya sitting allowance na perdiem?Mbona sitting allowance ni kidogo sana ukilinganisha na perdiem?Labda useme posho zote pamaja na perdiem inayokadiriwa kuwa zaidi ya laki 2 kwa siku zifutwe ndo unachosema kitatokea.Ila kama perdiem ikifutwa wabunge wataishije Dodoma?Sitting allowance ni kama elfu 70 tu(ambayo zzk aliikataa)Lakini anapokea perdiem ambayo ni kubwa zaidiRushwa itapungua hata kesi zinazohusu uchaguzi zitapungua.
je ikifutwa wabunge gani wataumia? na ikiletwa pendekezo la kuifuta wabunge wataunga mkono?
naomba wabunge wamuunge rais mkono kuondoa matumizi yasiyo na lazima, kwa kuwa mnapata posho ya kujikimu msipokee posh ya kukaa.
Magufuli futa ruzuku zote kwa vyama..ruzuku itolewe wakati wa uchaguzi mkuu tu.fedha ziende kwenye elimu na afya
Rushwa itapungua hata kesi zinazohusu uchaguzi zitapungua.
Je, ikifutwa wabunge gani wataumia?
Ikiletwa pendekezo la kuifuta wabunge wataunga mkono?
Naomba wabunge wamuunge Rais mkono kuondoa matumizi yasiyo na lazima, kwa kuwa mnapata posho ya kujikimu msipokee posho ya kukaa.
Unaunda uadui Na MBOWE
unaunda uadui na mbowe
Huu ni mtego mkubwa sana kwa chadema sijui kama watachomoka..
Je unajua tofauti ya sitting allowance na perdiem?Mbona sitting allowance ni kidogo sana ukilinganisha na perdiem?Labda useme posho zote pamaja na perdiem inayokadiriwa kuwa zaidi ya laki 2 kwa siku zifutwe ndo unachosema kitatokea.Ila kama perdiem ikifutwa wabunge wataishije Dodoma?Sitting allowance ni kama elfu 70 tu(ambayo zzk aliikataa)Lakini anapokea perdiem ambayo ni kubwa zaidi
Magufuli futa ruzuku zote kwa vyama..ruzuku itolewe wakati wa uchaguzi mkuu tu.fedha ziende kwenye elimu na afya
mbowe sio fukara hivyo.
Madude gani hayo unamsifia kilaza!!Kumbe mnamuogopa mbowe daaah hatariiiii yule ni kiboko yenu haongwi, harubuniwi, hadanganywi kama Dr mihogo, ana misimamo kama ya Hitler au G. Bush hawaogopi halafu haendekizi njaa hakika hata kama ni mimi ningekula sahan moja na nyie kila mtu anapenda pesa sio wachagga tuu cku hizi
Magufuli futa ruzuku zote kwa vyama..ruzuku itolewe wakati wa uchaguzi mkuu tu.fedha ziende kwenye elimu na afya