Single mother
Senior Member
- Jun 10, 2015
- 158
- 57
Unakaa wapi wewe...! Njoo dsm ulipe pango la nyumba laki 300000, umeme 50000,maji 40000, nauli kazini 100000, weka chakula uonw utabaki na shilingi ngapi?.....! Kweli wewe umeboreshewa mshahara
mkuu mshahara huo kwa nini ukae nyumba ya laki 3, umeme wa elfu 50!!! una mashine yakusaga hapo home?
ishi kulingana na kipato chako utawekeza saa ngapi kama hayo ndo matumizi???? kwa fresh from school hui mshahara ukijipanga unatoka sio kulialia ovyoo, kumbuka after 3 years daraja la mshahara linapanda achilia mbali annual increament!!!?? life is how you make it