Hapo kwenye red kumbuka kuwa wakuu wana shughuli nyingi za kiutawala japo wanafundisha pia. Hapo kwenye kijani ni kweli kabisa inatakiwa hii kitu Serikali ilifanyie kazi haraka ili kurejesha morali ya walimu.Wakuu washule watafune capitation grants,michango mbalimbali shuleni,fedha za misaada,wengi hawafundishi bado walipwe posho za ziada wakati kazi nyingi wanafanya walimu.serikali ifikirie vizuri sivyo matokeo yataporomoka ghafla.walimu nao walipwe posho ya kufundishiakama ilivyokuwa zamani enzi za Mwinyi.
Mimi ni Mwalimu mishahara imeongezwa sana tufanye kazi kwa bidii,Tsh716,000 naona posho sio lazima halafu sisi ni vijana 25yrs
Fanya kazi!! si MSHAHARA mnapata??? BALANCE hicho hicho! hii Nchi TUNA MAMBO MENGI YA KUFANYA........
Unakaa wapi wewe...! Njoo dsm ulipe pango la nyumba laki 300000, umeme 50000,maji 40000, nauli kazini 100000, weka chakula uonw utabaki na shilingi ngapi?.....! Kweli wewe umeboreshewa mshahara
huna akil vzr ww
Je wewe unayetaka kulipwa bajeti ya serikali peke yako
Sema mimi ni kijana, halafu hata kama ni kijana usipende kuridhika kwa vitu vidogo vidogo. Laki saba?
Mimi ni Mwalimu mishahara imeongezwa sana tufanye kazi kwa bidii,Tsh716,000 naona posho sio lazima halafu sisi ni vijana 25yrs
Hujui uandikacho.nenda kachume maperaFanya kazi!! si MSHAHARA mnapata??? BALANCE hicho hicho! hii Nchi TUNA MAMBO MENGI YA KUFANYA........