ndani ya ccm hakuna kitu kama hicho
Ni kweli inaonekana imekaa kisiasa zaidi.
hiyo ni danganya toto mkuu
Mwenye taarifa na hili ninaomba aliweke hapa jukwaani.Nimesikia kuanzia mwakani mwezi Julai Wakuu wa shule watalipwa Tshs 250,000 kwa mwezi kama posho,wakuu wa vyuo 300,000.
Waratibu elimu kata 250,000 na walimu wakuu msingi 200,000.Kama hili lina ukweli basi ni mwanzo mzuri wa kurejesha posho ya kufundishia kwa walimu wote.Tafadhali mwenye taarifa sahihi amwage hapa.
Umeandikwa ni waraka wa serikali,hauruhusiwi kuchapishwa kwenye vyombo vya habari.
Ndo mana mnaitwa walimu ni watu mliofeli..
Wanasambaza habari hizo ili muwasaidie ktk uchaguzi na nyie mlivo mabwege mshaanza kuamini..
Walimu bwana...........
Leo nimefanikiwa kuuona,viwango vya posho na ngazi za elimu vimeainishwa.Labda wewe uliona page moja.Nimeiona full package!