Posho ni tamu na kodi ni chungu

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205

HATA MIMI NINGEPENDA NIPATE POSHO NYINGI IWEZEKANAVYO
NA
KULIPA KODI KIDOGO IWEZEKANAVYO – HUU NDIYO UBINADAMU!!

Hivyo basi si vyema kumwachia mlipwa posho kuamua alipwe ngapi na mlipa kodi alipe ngapi. Je, hili tumelizingatia katika mijadala yetu juu ya posho na kodi?
Naamini tukiongeza ukweli huu katika tafakari zetu huenda tutakuja na hoja muafaka zaidi na hata kupunguza lawama hapa na pale.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom