Bukayo jr JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 2,782 Reaction score 1,647 Jul 30, 2014 #2 Kabla Twiga hajanywa maji lazima atanue miguu hivyo kutokana na urefu wake wa shingo na miguu... na hapo anataka kunywa maji na akiangalia huku na kule kama kuna Hatari yoyote
Kabla Twiga hajanywa maji lazima atanue miguu hivyo kutokana na urefu wake wa shingo na miguu... na hapo anataka kunywa maji na akiangalia huku na kule kama kuna Hatari yoyote
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Jul 30, 2014 #4 mshana jr said: View attachment 174341 Click to expand... Hahahahahahahaaa🙂 Mkuu haya uliyowaza na kuyaita MAMBO YETU YALE ni yepi???
mshana jr said: View attachment 174341 Click to expand... Hahahahahahahaaa🙂 Mkuu haya uliyowaza na kuyaita MAMBO YETU YALE ni yepi???
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,527 Reaction score 830,085 Jul 30, 2014 Thread starter #5 SURUMA said: Hahahahahahahaaa🙂 Mkuu haya uliyowaza na kuyaita MAMBO YETU YALE ni yepi??? Click to expand... Hahahahaaa SURUMA jukwaa la wakubwa linahusika
SURUMA said: Hahahahahahahaaa🙂 Mkuu haya uliyowaza na kuyaita MAMBO YETU YALE ni yepi??? Click to expand... Hahahahaaa SURUMA jukwaa la wakubwa linahusika
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,011 Reaction score 2,049 Jul 30, 2014 #6 Duuuuuu!km cr7 anataka kupiga faulo..!
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jul 30, 2014 #7 mshana jr said: Hahahahaaa SURUMA jukwaa la wakubwa linahusika Click to expand... tungeita miguu yenye matege ya nje weweee raha rahani
mshana jr said: Hahahahaaa SURUMA jukwaa la wakubwa linahusika Click to expand... tungeita miguu yenye matege ya nje weweee raha rahani
vibatar Member Joined Mar 16, 2014 Posts 57 Reaction score 16 Jul 30, 2014 #8 mshana jr said: View attachment 174341 Click to expand... Hahah! Mkuu una age ngap kwan we umewaza nn
mshana jr said: View attachment 174341 Click to expand... Hahah! Mkuu una age ngap kwan we umewaza nn