MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,654
- 13,835
Wakiondoa foleni watakuwa wameondoa maendeleo because according to the president, foleni == maendeleo.
Watanzania mbona hamna subra?
kwani muda wa uongozi umeisha? subiri muda uishe yaani 2015 ndio muanze kulalamika!
Ahadi zote zitatekelezwa 2010-2015.
Nimemsikia akiwaagiza wakuu wa wilaya kuondoa tatizo la msongamano wa magari na kupanda kwa bei ya vyakula. Huu ni mzaha mwinginee