PreGE2025 Porojo za CCM: Wanamdanganya nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
16,456
Reaction score
18,489
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.
Screenshot_20250430-171616_Opera News.jpg
 
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.View attachment 3320794
Je yule mgombea akishindwa je atatangazwa kwa haki kuwa ameshindwa?
 
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.View attachment 3320794
Angalia hili guluguja lilivyovimbiana mashavu kama linapuliza moto .
 
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.View attachment 3320794
huo ni ukweli mtupu. Na ni lazima kuambia na ukweli
kwenye kura za maoni ndani ya ccm atakaeshinda kura hizo atangazwe, samambamaba na kwenye uchaguzi mkuu pia :putinWalk:
 
Back
Top Bottom