Watu wa viwango nao sijui huwa wanawaza nini, wanajua sigara ina athari kubwa kwa afya sasa badala ya kuipiga marufuku ndio kwanza wameihalalishaUvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.
yaani nimechoooka kweli na nimecheka mnooo maana kila mtu kaweka mada yake ila hii nimeipenda maana haina mahusiano kabisaaaa
Nashukuru leo hujaomba picha kweli halaf swahiba wako tangopori kapotelea wapii au Tyta kamzidi nguvuu
Hivi anaechukua ubingwa ni yanga au azam???
Habari wana MMU,
Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani.
Hivyo ningependa kupata michango yenu juu ya faida na hasara ya picha hizi hasa katika mahusiano ya kimapenzi
karibuni....
Azam ndo bingwa.
Hahhhhhhahhhhha kisa cha kusonyaa ni niniii
wengi tunaonekana kukatishwa tamaa na kinachoendelea bungeni. nakwambia sikuamini misonyo na matusi yaliyotoka kwa watu waliokuwepo pale. nusura na mimi nitukane eti.
Siipendi TBC!!!! Bora ingelikuwa channel nyingine huenda ningeangalia mjadala bungeni wa katiba!
Habari wana MMU,
Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani.
Hivyo ningependa kupata michango yenu juu ya faida na hasara ya picha hizi hasa katika mahusiano ya kimapenzi
karibuni....
aaaaaarrrrrrrgh!!!!!!! nilijua yanga.
Asee thread yangu imegeuka Bunge Maalum La katiba