Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Mi naona bora serikali tatu tuu.
unataka ya siri au ya wazi?Mi naona bora serikali tatu tuu.
haaahhahahah hii ndio JF ..mtoa mada pole wote wapo against na wewe
ngoja View attachment 150256
Mi naona bora serikali tatu tuu.
Hivi unajua bangi inayotumiwa na wajumbe wa bunge la katiba,bado haijajulikana inalimwa wapi?
Msiwe na shaka, na wala sitaki watu muunderestimate KLH News.. Rais ataulizwa maswali. Nilikuwa nitume fax siku ya Ijumaa ya kujaribu kupanga hayo mahojiano then hili limetokea (msiba) so it threw me off...Lakini msiwe na shaka... We will go where no Tanzanian media has ever dared to...!!