Porini kuna vituko aisee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Porini kuna vituko aisee

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jonogomero, Mar 10, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Da..! porini nako kunavituko juzi panya kapita mara gafla kwa bahati mbaya kamkanyaga nyoka!Nyoka akamwambia mbona dogo unankanyaga panya akasema samahan bro..!Nyoka akasema samahan nn? kachek katoto kadogo ndev mwil mzma,panya akamjibu lichek kubwa zima bado linatambaa..! ENJOY IT...,
   
 2. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha ki2 broo!
  Et kuna panya alikuwa na mamaye ktk pitapita mara ghafla paka huyo fac 2 fac bas mama panya akamwambia mtoto bak nyuma m nikabiliane naye. Yule panya akaanza kubweka like a dog daah! Paka akaona isiwe tabu akaishia zake, mama panya akajitamba kwa mwanae "unaona faida ya kijifunza lugha za kigen"
   
 3. M

  Mnyahati Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  congrats! Ur very creative
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  Kwa kigogo hii inaitwa KALIS !
   
Loading...