Popote ulipo mwanamke wewe

maskini pole sana yule dada ni mlemavu wa kusikia na kuongea ni kiziwi halafu ni bubu ndo maana safari nzima alikuwa kimya tu. Anakaa Pasiasi Mwanza mtaa wa Majengo

hana tatizo lolote maana niliongea nae wakat tunachek in
 

Mnatuletea mambo ya yahoo na twiter
 
Fursa iliyopotea mkuu. Wewe ukipata kitu kimegonga moyo ni kurusha mkuki hapo hapo!! sasa wewe unasubiri eti akutafute!!! Kama ni mzuri unafikiri ni wanaume wangapi wanamkodolea macho?? Halafu alikuwa anakwenda kwa wasukuma!!!1 Ha ha ha!!! Dau lao kubwa kwa wanawake maridadi!!! Hebu tupe wasifu wake wa urembo!!!
 

Next time jitoe muhanga ukiona unachovutiwa nacho ongea, inawezekana she is single and looking hapo ungemtokea tu angeona bahati ya mtende ndio hii
 
Mkuu, ulikaa naye masaa mawili angani, akakuvutia ndani ya moyo wako lakini ukashindwa kujenga walau mawasiliano naye! Licha ya kubadilishana namba za simu walau hata kujua jina laken (ungebahatisha hata kwa kusearch kwenye FB ili kutengeneza mawasiliano). Kaka, ujitahidi walau kuwa charming kwani ingekuwa rahisi wewe kuzoeana naye siyo kukodoa macho tu kodo kodoooo! Haya sasa hangaika kumtafuta JF ukute ni hawa wenye avatar na ID napia wenye comment za kujifanya ni wanaume! Ukikuta PM usiogope ukajiuliza 'mbona ananitongoza mwanaume mwenzangu, mie nimekuwa bwabwa?!'
Mawindo mema kaka, sipati picha unavyochungulia inbox yako kila mara!
 
Next time jitoe muhanga ukiona unachovutiwa nacho ongea, inawezekana she is single and looking hapo ungemtokea tu angeona bahati ya mtende ndio hii

kwel mkuu. nikikutana nae mara yA pili hata akiwa na babake ntaomba namba
 

alikaa siti yA mbali toka siti yangu mkuu
 
mkuu sometimes muwe mnawaingia kwa kuanzisha stori nyingine tofauti na lengo kuu..

anzia mbali kabisa ili upate fursa ya kumsoma mwanamke ana tabia gani...

jaribu kuchangamka, jifanye angalau wewe u mgeni mahali fulani, just you dont know everything!

mwisho wa siku unaweza chukua contact as a gentleman, mambo mengine sasa ungeweza malizia kwenye simu!!!

tatizo letu ni kwamba tuna haraka mno na kufikisha ujumbe kwa muhusika/mlengwa!! its too early kwa mtu usiemjua hata kidogo!...

hofu yako imekukosesha mwanamke, huwezi jua na yeye alikuwa na neno zito la kukuambia, basi tu akaogopa!!


pole kwa janga hilo mtu mzima..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…