Popote ulipo mwanamke wewe

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,937
Reaction score
8,358
Tulisafiri wote dar-mwanza siku ya tar 27/1/2014 na fastjet. ulikuwa umevaa tshirt ya orange na jeans ya blue(ulipendeza sana).

Tafadhar ukiona walaka huu nipm maana siku ile nilishindwa kukusemesha sababu nilijipa moyo tutakutana mwanza. lakin siku zinakatika hata dalili ya kukuona haipo!
Tafadhar nipm nikuambie yangu ya moyon. ahsante
 
Hukuona kuwa alipokelewa airport na sweetylove wake???
 
Domo zege...
Ar u real gentleman??????
Ulishindwa kutumia fursa forget about her....
 
aiseee ya moyon kaa nayo ndugu umeshapeperusha njiwa
 
Ndege kasharukia jani jingine umemkosa huyooooo!!!!
 
Haya bwana nimeleta mzigo mpya wa khanga. Je wewe ungependa kuchukua yenye maandishi gani ya kwako ama ya mke wako?

Mi nimechukua 'Baki Njia Kuu, Michepuko sio Dili'
 
maskini pole sana yule dada ni mlemavu wa kusikia na kuongea ni kiziwi halafu ni bubu ndo maana safari nzima alikuwa kimya tu. Anakaa Pasiasi Mwanza mtaa wa Majengo
 
Haya bwana nimeleta mzigo mpya wa khanga. Je wewe ungependa kuchukua yenye maandishi gani ya kwako ama ya mke wako?
'Mi nimechukua 'Baki Njia Kuu, Michepuko sio Dili'

Nichagulie iliyoandikwa 'Mkwe kanichepusha' tasavali
 

wewe kaa mbali na mpenzi wangu. asharudi DAR
 
Haya bwana nimeleta mzigo mpya wa khanga. Je wewe ungependa kuchukua yenye maandishi gani ya kwako ama ya mke wako?

Mi nimechukua 'Baki Njia Kuu, Michepuko sio Dili'

bado njia kuu sina mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…