appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,819
- 3,088
Ni muda sasa umepita hatujamsikia je amepitiwa na wimbi la utekaji uliokithiri maana alikua na utaratibu wa kila mwaka kuchagua mtaa au wilaya zilizompendeza na kuwasalimu wanaume tu usiku wa manane na shart lake uende hadharan ukasifu ukarimu wake usiku wa jana la sivyo atakua mgen wako kila usiku unapopitiwa na usingiz
Miaka imepita hajulikan alipo yupo hai yupo salamaaa kweli
Miaka imepita hajulikan alipo yupo hai yupo salamaaa kweli