BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,155
- 2,171
Wakati POPE akijiandaa kufanya ziara nchini Israel Jews wameanza kuvuruga kwa kuchora graffiti kwenye kuta mbalimbal za kumponda na anti cristian...ikumbukwe israel wanadin yao tofauti na ukristo kw wengi tunavyodhani...vkosi vya ulinzi vimeongezwa ili mambo yasiharibike