Poorest countries in africa

nimekusoma mkuu! Infact nitatangulia mbele na chupa yangu ya maji na kilo mbili zangu za pork, zitanifaa njiani, lol!

Usisahau na ndizi za kuchoma na mazaga zaga mengine na makachumbari ya kufa mtu...
 
Lazma tu - apeal! Haiwezekani tusiwepo hapo!! Kuna mkono wa mtu, Au hata hii cdm wapo nyuma yake????

Wamekosea nini hawa!...Mbona Tanganyika siioni!

TZ haipo??!! (Puzzled..!!)

wapi bongo jamani...mbona wanatunyima haki yetu:becky:

ntakuunga mguu shost, mzima wewe?

mbona inji ya JK haimo aisee...........
hiyo ni per capita jamani, mmewasahau akina Shimbo et al? ndo wametubeba
 
Reactions: BAK
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Full List

[/TD]
[TD]Country[/TD]
[TD="align: center"]GDP per capita[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,200[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,200[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,300[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]22.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]23.
[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]24.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]27.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]28.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$1,900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]29.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]31.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,200[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]32.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,300[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]33.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,300[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]34.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]35.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]36.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$2,800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]37.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$3,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]38.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$4,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]39.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$4,600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]40.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$5,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]41.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$5,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]42.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$6,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]43.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$6,600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]44.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$7,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]45.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$7,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]46.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$9,600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]47.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$11,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]48.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$14,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]49.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$15,100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]50.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$16,200[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]51.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$16,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]52.[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]$19,600[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
My lovely country haipo asante sana.CCM FOR 2015.
 
Wamekosea nini hawa!...Mbona Tanganyika siioni!
PakaJimmy, Tanzania tangu mwaka 2008 haipo hata kwenye 20 masikini zaidi duniani. Hivi sasa nafikiri ni nchi ya 27 kwa umaskini ikipishana na Kenya kwa rank kama nne hivi. Kenya ya 31. Inawezekana ka uchumi ketu kwa sasa ni promising.
 
Last edited by a moderator:
Mkaa Mweupe, nafikiri hizi ranking zinatofautiana kutokana na mtathimini. Lakini kwa mfano ukiangalia global finance, wenyewe wameirank Tanzania ya 28 kwa umasikini na si ya 23. Cheki hapa: The poorest countries in the world | Global Finance
Ila kikubwa cha kujivunia ni kwamba hatumo katika nchi 20 maskini zaidi duniani.
 
Last edited by a moderator:
Nipo my dear! nashangaa kwa nn nchi yetu haipo kama kivutio cha watalii?? yaani ina vituko acha kabisa! kuanzia watu wenyewe mpaka nchi yenyewe! Lord Have Mercy!

Unamaneno wewe mtoto wa kike wewe angalia tu shemeji yetu asiwe anakuita vuvuzela
 
Wakuu I hope kuna wataalamu wa uchumi humu wakatudadavulia maana ya hizi data kwa mfano mimi nafikiri S.A ndo taifa tajiri Africa kuliko yote lakini kwa vigezo hapo inaonyesha ni Equatorial Guinea na S.A imezidiwa na nchi tano,Sudani pamoja na matatizo yake ipo juu kuliko hata Kenya.Hivi vigezo vinapimwaje?
 
Sasahivi mmewapakila kitu kwanini wasiwadanganyie hii habari potofu?!! na kwa uzuzu sitashangaa mwanasiasa kama Mwigulu akisema Tanzania ni nchi tajiri sana hata cia wamesema!!!
 
 
Nani kakuambia Tanzania masikini! watabiri wanatabiri miaka 50 ijayo Tanzania itakuwa kati ya mataifa 11 tajiri kabisa duniani sasa mnashangaa kwa nini?au hamjiamini ukiangalia mambo yanavyokwenda viashiria vyote vipo dhahabu kwa wingi ,mafuta,gesi .vito tena endemic to TZ only, miji bora inayokuwa,Barabara mtandao,utalii wa kufa mtu,mito bahari maziwa yenye samaki lukuki tena yenye sifa za kidunia,mlima kilimanjaro seleos,serengeti, rasilimali watu yenye elimu kubwa n.k ,n.k
 

Ni mtabiri gani huyo muongo namna hii wakati gwiji la utabiri shehe Yahaya alishatutangulia kwenye haki
 
Kama hatuko kwenye listi mbona vibakuli haviishi kupita mataifa mbali mbali.
 
Mmmmmh haya na we itabidi tuwekwe makumbusho hii kali.


Hakuna cha kujivunia hapo ukitathmini vizuri namna gani wamefikia kwenye matokeo hayo. Tanzania bado ni maskini wa kutupwa!
Hii pato la mtu (Per capita) linatokana na GNP (pato la taifa) Eti kwa vile taifa fulani linaingiza bilioni 23 ka mwaka (Tanzania, kutokana na migodi mitatu mikubwa), sasa hizo fedha ndiyo wanazigawanya kwa raia kwa kiasi sawa sawa! Hivi ni vigezo vya kipambafu!
Ndiyo maana unaona Equatoria Guinea inaongoza Afrika kwa vile ina watu kidogo na mafuta mengi. Ila asilimia 60 ya Waequatoria wanaishi kwa chini ya dola 2 kwa siku (sawa na Bongo)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…