Poor Men (Wanawake Wanatunyonya)

Halafu jamaa akitoka hapo akatumike. Bao moja=kutembea 50km. Source ni mimi mwenyewe.
 
hapo mkuu si ana bembeleza?hajala vitu,akila vitu hakuna tena outing za namna hiyo
 
Wanataka wenyewe hao...

kuna mshkaji wkt tunasoma azania alitumia pocket money ya wiki kumnunulia ngamia (gals wa jangwani sec) zawadi na mazaga zaga. amerudi hosteli pale hana hela ya kula akawa anakula mihogo na kugongea misosi kwa washkaji wiki nzima maana hawezi enda hm kuomba tena hela
 
Mwacheni ahudumie chake jamani, labda yeye hakuwa anajisikia kula je?
 

Ni kweli kabisa usemayo.......nimeshuhudia hayo
 
hata mie nashangaa!

Hivi ww na Preta hamuoni huyo mdada kashika sandwich....na kwenye sahani yake kuna michakula

wakati mkaka kwake ni kweupeeee, yuko na fanta tu
 
Last edited by a moderator:
uyo atakuwa ni boflo mwenyewe amejuaje hiyo misosi wakati sisi atuioni,uyo lazima atakuwa boflo tu
 
kwani si itafika na wewe zamu yako....nawewe mnyonye!!!
 
Akiingia kwenye kumi na nane zake huyo dada ndo atajua atakavyofidia, chezea men wewe!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…