DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,936
- 2,144
Habari.
Nnahoja binafsi, inayohusu namna wakuu wanavyo ongoza shule zao na matokeo mabovu ya wanafunzi wao.
1. Matumizi ya misuli badala ya ushawishi.
Katika shule kadhaa around 27 na ushehe..nmegundua kuwa wakuu wengi wa shule wanatumia nguvu nyingi katika kuendesha shule zao.
Mkuu wa shule anahakikisha walimu wenzie wanatia adabu kwa kumnyenyekea hata kwa vitu vya kijinga.
Mkuu wa shule atahakikisha eidha kwa wadhifa wake alionao au kwa uwezo alionao kuwa undermini walimu wake lets say psychologically -mfano, Kuna mkuu mmoja, anajitangaza kwa wanafunzi, mimi ndio mwenye mshahara mkubwa kuliko wote hapa shuleni hii inajenga psychology kwa wanafunzi kudharau walimu wao na walimu kujioma wanadharauliwa.
2. Old styles of governing.
Mkuu wa shule anaongoza kwa amri, kila kazi anazotoa, usipo fanya basi utakiona kwa D. E. O.
My take.
Haya yote na mengine mengi ambayo sijayaandika muyafahamuyo, yanapelekea disunity within organization, walimu hawatafundisha/ hata wakifundisha hawafundishi kwa moyo wa kujitolea, na wanafunzi nao wanajikuta wapo wapo Tu, kuishia kudharau walimu wao, eventually massive failure.
Laiti Kama mkuu wa shule akitumia ushawishi na uwezo alionao wisely, basi, ufaulu utaongezeka sababu, shule kiujumla inakuwa na umoka ulio thabiti.
Note.
Nnatambua Kuna sababu lukuki zinazo sababisha wanafunzi na wahitimu kufeli, ila nmeamua kuizungumzia hii moja na kuwasilisha kwenu, kwaajili ya mawazo na marekebisho zaidi.
Nawasilisha.