Pool Dr Magufuli (mwanasayansi) vs T. Lissu ( Mwanaharakati) October 2015

Pool Dr Magufuli (mwanasayansi) vs T. Lissu ( Mwanaharakati) October 2015

Mr Emmy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,219
Reaction score
550
Hi wanabodi

Toa kura yako ya maoni ikiwa Ukawa wakaamua kumsimamisha Toto Tundu Lissu Mwanaharakati kumkabili Jembe Magufuli Mwanasayansi Tingatinga katika uchaguzi wa October 2015. Nani anaweza kuibuka kidedea ??????????
 
Kwa harakati zake kisheria(lissu) yuko juu kwa mhandisi(magufuli) mwenye bajeti ya wizara(ujenzi)inayotosha kuwalipa wakandarasi. kumbuka bunge la katiba alichofanya na kufichua serikali ya ccm walivyo wanafiki
 
Kwa harakati zake kisheria(lissu) yuko juu kwa mhandisi(magufuli) mwenye bajeti ya wizara(ujenzi)inayotosha kuwalipa wakandarasi. kumbuka bunge la katiba alichofanya na kufichua serikali ya ccm walivyo wanafiki

tangia lini makufuri akawa muhandisi? acha kuidhalilisha taaluma! yeye ni mwalimu!!!
 
Hi wanabodiToa kura yako ya maoni ikiwa Ukawa wakaamua kumsimamisha Toto Tundu Lissu Mwanaharakati kumkabili Jembe Magufuli Mwanasayansi Tingatinga katika uchaguzi wa October 2015. Nani anaweza kuibuka kidedea ??????????
Yaani mnaanza kumchokoza SILAHA! hahaha mnamtafuta
 
unachanganya makande na PILAO la IDDIIiiii...mwanasheria vs Mkandarasiiii

natambua wote katika kusoma kwao walisoma baadhi ya vipengele vya masomo ya mwingine

ingekuwa wote wanagombea uRAISI basi ningeendelea kuchambua
 
ngoja tuone kitakachotokea
 

Attachments

  • 1436986666582.jpg
    1436986666582.jpg
    16.8 KB · Views: 142
Magufuli uandisi alipata lini, na pia tundu lissu sio mwanaharakati ni mwanasheria
 
Nyie naona hammpendi Tindu Lissu,baada ya Zitto kutoka atakayefuatia kuundiwa zengwe la kufukuzwa Chadema ni Tindu Lissu,hivi vitendo vyenu vya kumfagilia zaidi vitamponza.

Mjifunze, hicho chama kina wenyewe na Tindu Lissu sio mmojawao,shauri yenu.
 
Back
Top Bottom