Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,207
wahundi ndio akina nani?hv waarabu na wahundi sku hz wanaenda kama maponjoro😀🤣
Oya ID yako inachekesha kinyama wewe Mgerasi
Dogo Acha porojoOya ID yako inachekesha kinyama wewe Mgerasi
Gwajima hakuanza kuwaita Ponjoro, Ponjoro lipo enzi na enzi mimi nikiwa mdogo hadi nakua wahindi tuliwaita maponjoro.Mch. Mtikila aliwabatiza Gabachori.
Askofu Gwajima kawabatiza na PONJORO.
Unataka wanaume ?